Monday, March 25, 2013

NEW SONG BY LANGA -AM SUPPLYING


<iframe id="hulkshare-player-embed" name="hulkshare-player-embed" src="http://www.hulkshare.com/hsPlayer/embed/embed.php?fn=2wyd7h4ow8gw&enableDownload=1&enableAdd=false&bg=000000&fg=undefined&iconColor=8CDA27&backColor=000000&outColor=CCCCCC&overColor=FFFFFF&textColor=9E9D9D&tintColor=373737&type=7&width=100%" scrolling="no" frameborder="0" allowTransparency="true" style="width:100%;height:197px;"></iframe>

Saturday, March 23, 2013

WASANII WAMPIGA TAFU MADEE KWENYE VIDEO YA NANINI KAMWAGA POMBE YANGU.

Diamond ni mmoja kati ya wasanii watakao onekana kwenye video ya wimbo mpya wa Madee "pombe yangu" iliyofanyika tarehe 19 mwezi huu, chini ya Director Adama Juma. kwenye picha hizo pia wameonekana Ngwea na Darasa wakishow love kwenye video hiyo.

NEW VERSION OF KIZAIZAI BY DIAMOND PLATINUM

Tuesday, February 26, 2013

C.E.O WA BONGO IDEA ENTARTAINMENT AWAPA ELIMU WASANII

Wasanii wa muziki wanapaswa kujua hati miliki za kazi zao za muziki,wazo hilo lime tolewa na C.E.O wa Bongo idea entartainment alipo kutana na baadhi ya wasanii wasio jua manufaa ya kazi zao na zaidi wakilalamika kuibiwa kazi zao ,alisema hivii ... "wasanii wamekuwa wakilalamika kuibiwa kazi zao pasipo wao kutambua namna ya kujiingizia kipato ambacho kitatokana na kazi zao"

Friday, February 1, 2013

EXCLUSIVE; HAYA NDIO MANENO YOTE ALIYOSEMA DIAMOND KUHUSU WANAOSEMA KASHUKA KISANII Kwa kipindi kirefu kidogo toka mwaka 2012 kumekua na taarifa mbalimbali zinazopita kwenye magazeti, blogs na midomoni mwa watu kadhaa kwamba staa wa muziki wa bongofleva anaetajwa kulipwa pesa kubwa kwenye kufanya show Tanzania Diamond Platnums ameshuka kiwango, yani mwisho wake kwenye muziki umefika. Baada ya hizo taarifa nimekua nikijaribu kufanya interview na Diamond lakini hakupenda kuliongelea hilo kwa wakati huo. Diamond amebadili huo msimamo na kuamua kufunguka rasmi kwenye Exclusive interview na millardayo kuhusu yote yanayosemwa kwamba kashuka kiwango. Namkariri akisema “unapofanya vizuri hakuna anaependa, kama Maisha Club wasanii wengi huwa wanafanya show lakini nikifanya mimi ndio panatapika hata club nyingi hata nilivyofanya show Dar Live uliona watu kutaka kutia virusi, kutaka kutengenezea mazingira” “Mashabiki ndio wanatakiwa kusema flani labda sasa hivi ameshuka lakini mashabiki hao ndio hao kila siku wanazidi kununua kazi zangu, wanazidi kuomba nyimbo zangu kwenye redio.. kiukweli nyimbo zangu ndio zinaombwa sana kwenye radio, katika show zangu wanajaa sana” – Diamond Kwenye sentensi nyingine Diamond amesema “kuna gazeti likaandika Diamond sijui ndio mwaka wake wa mwisho, Diamond sijui ameshuka kiwango… utaweza vipi kuandika vitu kama hivyo? mi ndio msanii ambae nalipwa pesa nyingi kuliko msanii mwingine yoyote Tanzania, vita za kibiashara kokote zipo mimi ndio maana hazinishtui kila siku ndio maana nazidi kuachia ngoma tu kuwakata vilimi vilimi, wanatakiwa wajue kabisa kwamba mimi nimeaga nyumbani… licha ya kuaga mi nafanya muziki kama kazi kwa njaa kabisa, kwa hiyo mwenyezi Mungu alienipandisha na mashabiki zangu ndio wanaweza wakataka kunishusha” HII NI MOJA YA TWEET YA PROFESOR J, AKIMZUNGUMZIA DIAMOND;