Tuesday, February 26, 2013

C.E.O WA BONGO IDEA ENTARTAINMENT AWAPA ELIMU WASANII

Wasanii wa muziki wanapaswa kujua hati miliki za kazi zao za muziki,wazo hilo lime tolewa na C.E.O wa Bongo idea entartainment alipo kutana na baadhi ya wasanii wasio jua manufaa ya kazi zao na zaidi wakilalamika kuibiwa kazi zao ,alisema hivii ... "wasanii wamekuwa wakilalamika kuibiwa kazi zao pasipo wao kutambua namna ya kujiingizia kipato ambacho kitatokana na kazi zao"

No comments:

Post a Comment